Mark 9:1

1 aIsa akaendelea kuwaambia, “Amin, nawaambia, kuna watu waliosimama hapa ambao hawataonja mauti kabla ya kuuona Ufalme wa Mungu ukija kwa nguvu.”

Isa Ageuka Sura

(Mathayo 17:1-13; Luka 9:28-36)

Copyright information for SwhKC